Uchaguzi 2020 Yaliyojiri upigaji kura za maoni za wagombea wa Ubunge na ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kupitia CCM - Julai 20-21, 2020
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] mtoto mpendwa ameanza kuweweseka lol,
FB_IMG_15954068399032779.jpg
 
Wacha mi nianze harakati 2025 niwe mtia nia [emoji3][emoji3][emoji3]
Hayo ndio maneno sasa. Wengi walioshinda kwenye kura za maoni mwaka huu walianza kampeni za chinichini kwenye majimbo yao miaka mitatu au minne ikiyopita. Mawaziri walikua wana take advantae ya miradi ya serikali inayotekelezwa majimboni mwao wakidai kua wao ndio wamefanikisha iletwe hapo ilipoletwa!!!

Kila la heri kwenye ndoto yako hiyo. Wao waweze wana nini na wewe ushindwe una nini?
 
Hahaaaa.. Sasa mie ambaye sijawahi peleka hata penseli tu najinadi vipi
 
Whaaaaaaaaaaaat???????

Why couldn't he keep quiet????? Was it necessary kujibu kila analoliona na kulisoma.. Eeeeish !!! SMH
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] huko Twitter ni vijembe tyuuuh na kujimwambafy khaaaaah, anaainisha kwa kweli mweeeh
 
That's immaturity at it's highest level.. Ingekuwa ni busara aache watu waone vitendo tu.....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaaan hadi ajabu huyu mtu hana busara kabisaah
 
Hahaaaa.. Sasa mie ambaye sijawahi peleka hata penseli tu najinadi vipi
Kua karibu na watu. Shirikiana na viongozi wa mashina na matawi kwenye shughuli za maendeleo ya jimbo

Jitokeze kila mara kuhamasisha wananchi na uwe na mawazo ya ubunifu kama kuandaa matamasha ya vijana ya uzalishaji mali, vikoba na hata michezo

Jiangalie kama una dharau, jeuri au kiburi na kuwajibu watu vibaya ujirekebishe mapema. Misiba yao iwe yako na harusi zao uchangie japo kwa pongezi. Pita na utambulike katika kata nyingi za jimbo kadri uwezavyo, taaaratiiiibu but consistently kwa miaka mitatu kabda ya uchaguzi

La mwisho lakini lenye umuhimu mkubwa ni kwamba mkono mtupu haulambwi. Hapa sikufundishi nisije nikaingia hatiani ila akili kumukichwa😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom