TATIANA
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 4,690
- 2,433
Yaani watu wapo tayari kufanya lolote ili waingie mjengoniYaani full tafrani waganga wamepiga Sana pesa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani watu wapo tayari kufanya lolote ili waingie mjengoniYaani full tafrani waganga wamepiga Sana pesa.
Wacha mi nianze harakati 2025 niwe mtia nia [emoji3][emoji3][emoji3]Akuu wanangu wana wenyewe hoiii!!!
Ndio kwenye ulaji huko kwa sasa TATIANA. Unadhani kama hakuna chochote tungeona haya mafuriko ya watia nia?!Yaani watu wapo tayari kufanya lolote ili waingie mjengoni
Thubuuutuuu.. Kila mtu angekuwa amerudisha mikono nyuma..... [emoji3][emoji3][emoji3]Ndio kwenye ulaji huko kwa sasa TATIANA. Unadhani kama hakuna chochote tungeona haya mafuriko ya watia nia?!
Hayo ndio maneno sasa. Wengi walioshinda kwenye kura za maoni mwaka huu walianza kampeni za chinichini kwenye majimbo yao miaka mitatu au minne ikiyopita. Mawaziri walikua wana take advantae ya miradi ya serikali inayotekelezwa majimboni mwao wakidai kua wao ndio wamefanikisha iletwe hapo ilipoletwa!!!Wacha mi nianze harakati 2025 niwe mtia nia [emoji3][emoji3][emoji3]
Hahaaaa.. Sasa mie ambaye sijawahi peleka hata penseli tu najinadi vipiHayo ndio maneno sasa. Wengi walioshinda kwenye kura za maoni mwaka huu walianza kampeni za chinichini kwenye majimbo yao miaka mitatu au minne ikiyopita. Mawaziri walikua wana take advantae ya miradi ya serikali inayotekelezwa majimboni mwao wakidai kua wao ndio wamefanikisha iletwe hapo ilipoletwa!!!
Kila la heri kwenye ndoto yako hiyo. Wao waweze wana nini na wewe ushindwe una nini?
Whaaaaaaaaaaaat???????[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] mtoto mpendwa ameanza kuweweseka lol, View attachment 1514002
Talle kapeta nasikia toka janaJamanii talle na mwita waitara vipi huko?
Kazi ipo hahaha[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] mtoto mpendwa ameanza kuweweseka lol, View attachment 1514002
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] huko Twitter ni vijembe tyuuuh na kujimwambafy khaaaaah, anaainisha kwa kweli mweeehWhaaaaaaaaaaaat???????
Why couldn't he keep quiet????? Was it necessary kujibu kila analoliona na kulisoma.. Eeeeish !!! SMH
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] yaaan wee acha tyuuhKazi ipo hahaha
That's immaturity at it's highest level.. Ingekuwa ni busara aache watu waone vitendo tu.....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] huko Twitter ni vijembe tyuuuh na kujimwambafy khaaaaah, anaainisha kwa kweli mweeeh
Duuuuh kafara imetenda vilivyo.Talle kapeta nasikia toka jana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaaan hadi ajabu huyu mtu hana busara kabisaahThat's immaturity at it's highest level.. Ingekuwa ni busara aache watu waone vitendo tu.....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahaha.. Hapa hata sitii neno maana sijui kama ni kweli bwana.. Nilivyokuwa naona anaonyesha malove hivi kwa Shammy.... OoohDuuuuh kafara imetenda vilivyo.
Pesa Dada,pesaaa!!!Wacha mi nianze harakati 2025 niwe mtia nia [emoji3][emoji3][emoji3]
Yaani watu wapo tayari kufanya lolote ili waingie mjengoni
Ngoja niwe mpenzi mshangiliaji.HahaaaaaHahahaaaa, haya bana
Kua karibu na watu. Shirikiana na viongozi wa mashina na matawi kwenye shughuli za maendeleo ya jimboHahaaaa.. Sasa mie ambaye sijawahi peleka hata penseli tu najinadi vipi