Ni wakati wa kuachana na ccm inatia aibu.
 
Naomba Matokeo jimbo la ndanda.Tandahimba na Mtwara mjin wadau
 
Muraaaaa!
Uyu jembe my gut thinks anafaa compared na wenzake hao.

1. Waitara kura 291
2. Bwire 135
3. Eliakim Maswi 128

You know, Maswi chances ya kupata wizara ni kubwa sn.

Waitara is so pathetic and less of a kanda maalum man! Siku niliyomuonaga (in a high profile office) he were shaking and has a hyenaic grin sijui anatumia Liquor ipi...

Sometimes promises are meant to be broken... MKURU SANA take Maswi, let this Waitara go kick rocks.
 

Attachments

  • 20200722_210721.jpg
    84.9 KB · Views: 2
Naomba unitumie matokeo ya wagombea wrote
 
Umesahau kumuambia waganga asiwasahau bwana la sivyoo awe mtu wa Mungu kweli kweli.
Mjomba Mrisho Mpoto alimuimbia Kikwete akamwambia
"Mjomba vibwaya usivitupe ghalani, vitakuja kukufaa/kuhitajika".

Mila haziepukiki, utamaduni wetu ni sehemu ya maisha yetu😀😀😀

ANGALIZO: Kwa kina dada inabidi muwe makini sana maana kuna wanaume wapo kwenye siasa huko tena vyama vyote wana take advantage ya uhitaji wenu wa kua Waheshimiwa Wabunge/Madiwanikuwaomba rushwa ya ngono
 
Sioni tofauti baina yao... yote mayai ya kuku mmoja
 
Vp ninja katusua au mbn shangwe

Ova
Your browser is not able to display this video.
 
Bila kutoa pesa chama chochote huwezi shinda kura ya maoni. Ukishakuwa mbunge utawakumbuka waliokupigia kura? Kila mtu anakufa na chake. Mwenye kitu ndio anaongezewa siku zote
 
Cecil mwambe nafasi ya 4 wa tatu ana kura 73
 
Sasa kama Mchuano ulikuwa kwa Mr Denis na huyo Mwl Felix mbona Mwalimu Felix Bwahama hakuwa wa pili,asiyekubali kushindwa si mshindani jipange tena 2025
 

Attachments

  • B5AE463F-A187-4695-B48B-4C216B6E1BC4.jpeg
    42.4 KB · Views: 2
Mzandiki mkubwa, kama kweli kwann hukutoa taarifa takukuru,..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…