Hahaaaaa! Tusiache au siyo waafrica tuko vzr.Wengine kwa staili hyo bora kushindwa
Kutumika huko ndo mpango kwa kweli wanawake ndo mboga hizoo.
Mimi bwana ngoja nishike chaki huko kuzitoo
 
Usimpe moyo Waitara kaondoka na kundi la wazee wa kimila anazunguka nalo kwenye gari full anatupa mabomu kwa wenzie [emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Mlimba kashinda nani ?
 
Nimeona na kupata nyepesi nyepesi kuwa Umi Mwalim amekuwa wa kwanza kura za maoni.
Mungu amzidishie huyu mama kipindi cha COVID19 amepitia magumu mno
Wananchi wameliona hili nilishawahi kumsifia humu watu wengine wakabeza.
Huyu mama nampenda mno utendaji wake mwanangu ningekuwa na uwezo ningesimamia uwe waziri tena wa Afya.
Mkwe wangu(mumeo) amepata mke
 

Dada ya Korona yuko vizuri...

 
Wakuu mwenye matokeo ya Jimbo la Nkasi please.

Ally Kessy katoboa kweli?
 

Muombe ruhusa mumewe, ukanywe chai na Ummy.
 
Msifie kuhusu mambo ya chama na uwaziri, mengine waachie wenyewe wanafamilia.
 
ukifanya vizuri malipo yake utayapata na ikifanya mabaya malipo yake utayaona hapa hapa...duniani...
 
Hivyo ndivyo ilimpasa kufanya hivyo hamna jipya, zamani waligeuza uwaziri kuwa ulaji tu kwa sasa uwaziri ni utumishi na utekelezaji wa majukumu, angezembea aone kama angebaki kwenye hicho kiti!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…