Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi kura za maoni kwenye nafasi ya urais zilisha pita?
Kwahiyo tume haina nafasi? Halafu, ni wakristo wote au wazee wa wakristo? maana naweza nikawa mkristo na nikampigia kura yule ninayemtaka tofauti na mawzo ya wazee? Jamaa anasema wazee wa kiislam ndio wanao amua, sasa sijui matakwa ya myu mmoja mmoja yapo wapi? what if wazee wapo 20 na sisi tupo 100, yukapiga kura tofauti na wazee wanavyotaka, je kura zetu hazihesabiwi na tume? au tume wanawasikiliza wazee wanachotaka?Inaonekana huna exposure ya kutosha kujua desturi za sehemu husika.
Mfano Moshi ni Wakristo. Ila kinachoamua ni nani awe Mbunge ni mgombea kuwa mzawa wa asili wa eneo husika.
Akiwa muislamu hawezi kushinda labda awe na msimamo wa wastani na pia eneo husika kuwe na waislamu wengi na wasabato mfano same na mwanga
Kachukua fomu na anagombeaSijui Nape mlamba soli Ila January alipoona ubatizo wa Moto alioutangaza babake kwa wapinzani alitangaza hatagombea
Dr David Mathayo vs Angella KairukiMtifuano upo hapa:
-Makonda vs Ndugulile
-Mwanri vs Godwin Mollel
-Ole Milya vs Ole Sendeka
Mbona nasikia hajachukua fomu mkuu!Ndugulile anaweza pata kura za huruma sababu katumbuliwa na juzi kafiwa na baba yake hivyo wanachama wanaweza muonea huruma wakampitisha.
Bado hazijapita Nyalandu na lissu wanachuana vikali
Akiwa waziri wa mambo ya ndani atatembea nao tu!Cheo cha ubunge sio sawa na Cheo cha Rc na Dc.
makonda akipita asahau mambo yake ya kutembea na mapolisi
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Mimi kwangu hapo ningemtoa GAMBO na Makondakila la Heri Waheshimiwa Paul makonda, Gambo, katambi Ole sendeka na Mwanri[emoji122][emoji122]
Akiwa waziri wa mambo ya ndani atatembea nao tu!
Mollel ndo yule ana kichwa kama papai?Mkuu macho na masikio yangu yapo Siha kwa sasa, natumai moleli atarudi kwao kuchunga ng'ombe na ndugu yetu Mwandri kupewa idhini ya kulitetea jimbo
Zilishapigwa pale Dodoma.... Wakati wewe uko msumbiji!Naulizia upande wa ccm
Baada ya uchaguzi!
Kuna wabunge wengine kama hawapo ville,me ndo nimeskia juzjuzi wakat wa Corona kuwa jamaa ndo wa kigamboniNdugulile anaweza pata kura za huruma sababu katumbuliwa na juzi kafiwa na baba yake hivyo wanachama wanaweza muonea huruma wakampitisha.
Kawe kawe kawe kwa watu wa uchumi wa katiMtifuano upo hapa:
-Makonda vs Ndugulile
-Mwanri vs Godwin Mollel
-Ole Milya vs Ole Sendeka
Haya kumeshakucha tena La mgambo likilia ujue kuna jambo.
Kura za maoni kwa wabunge wa tiketi ya CCM zinaanza kupigwa leo lakini watanzania wataelekeza zaidi macho na masikio yao maeneo yenye upinzani mkali.
Kigamboni, Arusha mjini, Simanjiro, Kyela, Mbeya mjini, Mwibara, Misungwi, Same Mashariki, Tunduma, Tarime Vijijini na Ubungo ni baadhi ya maeneo yanayoangaliwa kwa jicho la tatu.
Ngoja tuone.
Up dates:
Maendeleo hayana vyama!
[/QUOTE]
Kangi
Gambo
Mathayo David
OUT!!!!!!