[emoji23][emoji23][emoji23][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]afadhaliiiiStive nyerere tayari amedondokea kiuno.
Hakuna namna ndo kapita sasaSikipendi hichi kidudumtu yaani wanambeya hawawezi kuchagua kimtu cha kuharibu zaidi bunge letu.......... Kikisimamia kupitishwa sheria za hovyo na kukataza /kuwabania wabunge kusimamia serikali
watakuwa wamepindua mezaMakonda katusuaa kigamboni
Jamaa anakwepa sana mishale
Ova
Makonda katusuaa kigamboni
Jamaa anakwepa sana mishale
Ova
Sikujua kama Makonda ni maarufu kiasi hiki,!
tupo hapa kigamboni naona makonda yupo kwenye bufee anachukua tambi, samaki duh ila kaweka pilipili imejaa mpaka inamwagika kwenye shati, lakini cha ajabu analia kishenzi yani nadhani pilipili imemuingia machoni.
Sio kweli mkuu. Ex wa jiji la Dar anahema ovyo tu now. Kama ni kisimati atapata kingine.Mbona wanasema kazoa kura 316 zidi ya 69 za Dokta?
Hizi ni dalili kuwa kaangukia puatupo hapa kigamboni naona makonda yupo kwenye bufee anachukua tambi, samaki duh ila kaweka pilipili imejaa mpaka inamwagika kwenye shati, lakini cha ajabu analia kishenzi yani nadhani pilipili imemuingia machoni.
Vipi hatokwi na kamasi,kwikwi je..ππππtupo hapa kigamboni naona makonda yupo kwenye bufee anachukua tambi, samaki duh ila kaweka pilipili imejaa mpaka inamwagika kwenye shati, lakini cha ajabu analia kishenzi yani nadhani pilipili imemuingia machoni.