Uchaguzi 2020 Yaliyojiri upigaji kura za maoni za wagombea wa Ubunge na ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kupitia CCM - Julai 20-21, 2020
Naona watu wengi hapa wanasubiri matokeo official ya Konda🎃🎃🎃👹👹👹
 
tupo hapa kigamboni naona makonda yupo kwenye bufee anachukua tambi, samaki duh ila kaweka pilipili imejaa mpaka inamwagika kwenye shati, lakini cha ajabu analia kishenzi yani nadhani pilipili imemuingia machoni.
 
Sikipendi hichi kidudumtu yaani wanambeya hawawezi kuchagua kimtu cha kuharibu zaidi bunge letu.......... Kikisimamia kupitishwa sheria za hovyo na kukataza /kuwabania wabunge kusimamia serikali
Hakuna namna ndo kapita sasa
 
tupo hapa kigamboni naona makonda yupo kwenye bufee anachukua tambi, samaki duh ila kaweka pilipili imejaa mpaka inamwagika kwenye shati, lakini cha ajabu analia kishenzi yani nadhani pilipili imemuingia machoni.

Matokeom tayari au bado?
 
tupo hapa kigamboni naona makonda yupo kwenye bufee anachukua tambi, samaki duh ila kaweka pilipili imejaa mpaka inamwagika kwenye shati, lakini cha ajabu analia kishenzi yani nadhani pilipili imemuingia machoni.
Hizi ni dalili kuwa kaangukia pua
 
tupo hapa kigamboni naona makonda yupo kwenye bufee anachukua tambi, samaki duh ila kaweka pilipili imejaa mpaka inamwagika kwenye shati, lakini cha ajabu analia kishenzi yani nadhani pilipili imemuingia machoni.
Vipi hatokwi na kamasi,kwikwi je..😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom