Kwahiyo kajitaalisha peke yake.pale kakutana na kisiki.
Tatizo la Bashite anavyoona watu wanatabasamu na kumpigia vigeregere anafikilia na moyoni wako hivyohivyo.
Pesa watu wamekula na wamemchinja.
Tusubiri matokeo. Mtu kama Makonda wanashindaga tena kwa kura nyingi. Huyu ataakishinda ubunge mbine itakuwa Mahakamani. Watu watadai yao!
 
Nasubiri matokeo ya Jimbo la Rufiji tafadhari naomba muangazie na huko mtuletee kwa wakati
 
Obama huyo mtoa rushwa? Hata akipita CCM hawampi,lazima Mpango atashinda asubuhi mapema
 
Jamani mwenye matokeo ya kigwangala ,waitara,January makamba naomba!

JESUS IS LORD[emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…