Uchaguzi 2020 Yaliyojiri upigaji kura za maoni za wagombea wa Ubunge na ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kupitia CCM - Julai 20-21, 2020
Kwahiyo kajitaalisha peke yake.pale kakutana na kisiki.
Tatizo la Bashite anavyoona watu wanatabasamu na kumpigia vigeregere anafikilia na moyoni wako hivyohivyo.
Pesa watu wamekula na wamemchinja.
Tusubiri matokeo. Mtu kama Makonda wanashindaga tena kwa kura nyingi. Huyu ataakishinda ubunge mbine itakuwa Mahakamani. Watu watadai yao!
 
Nasubiri matokeo ya Jimbo la Rufiji tafadhari naomba muangazie na huko mtuletee kwa wakati
 
Waziri wa Fedha Dr. Mpango anakabiliana na mhe. Obama mbunge anayetetea kiti hicho jimbo la Buhigwe. Kasulu mjini ni waziri wa Elimu Prof.lJoyce Ndalichako dhidi ya Daniel Nsanzugwako mbunge anayetetea jimbo hilo.

Dr Mpango anatokea eneo lililo pembeni mwa jimbo hilo na lenye wakazi wachache huku Obama akiwa mzaliwa wa Manyovu upande wenye wakazi wengi. Kwa upande wa Ndalichako huyu amekulia na kusomea Kigoma mjini japo asili
yao in Kasulu mjini.

Awali alikuwa agombe Kigoma mjini lakini akakimbilia Kasulu baada ya kuona jimbo hilo uamuzi wa kuwa mbunge huamliwa na wazee wa Ujiji ambao ni waislamu.
Obama huyo mtoa rushwa? Hata akipita CCM hawampi,lazima Mpango atashinda asubuhi mapema
 
Jamani mwenye matokeo ya kigwangala ,waitara,January makamba naomba!

JESUS IS LORD[emoji120]
 
Back
Top Bottom