Nimeona hii ya Mtulia muda huu hapa mbavu sina! Daaah kura 11? Safi sana wanakino nimewakubali ameeeeen Nasikia Bashite kaambulia nusu ya kura za NdugulileMatokeo sahihi mpaka Sasa ni Mtulia katulizwa kapata kura 11 tu.Tarimba kashinda kinondoni.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umaarufu wa instagramNdo wajue instagram inawadanganya sana.
Any good news from Kigamboni??
Ni watu wawili tofautIddy Azan Ndio Zungu?
Mr zero ni zero tuUnaongelea analytical intelligence. Kujipima kwenye mizani inahitaji analytical intellegence na mtu aliye-fail form IV manake ni zero kabisa akili za ku-analyze mambo. #Mkurupukaji
labda kama ni kura za wazi. maana akishindwa hana uwezo wa kuzidai maana atakuwa raia tu, hata mikwara sidhani kama anaweza kuwapiga waliokula ikiwa kawalisha mlungula wapiga kura.Hela anayo kwa nini ashindwe.
Siasa za CCM Tanzania siyo ngumu. Ni kuangalia kila kata wajumbe wana mtizamo upi. Ikiwezekana wananunulika ama?Unaongelea analytical intelligence. Kujipima kwenye mizani inahitaji analytical intellegence na mtu aliye-fail form IV manake ni zero kabisa akili za ku-analyze mambo. #Mkurupukaji
Kabisa hiki kitampata Steve Nyerere pia. Umaarufu wa Facebook,Instagram,Twitter waliamini utawabeba. Ubunge inatakiwa uwe na foundation field.
Duh.. Hawa Ghasia sasa basi inatosha, waachie na wengineMtwara Vijijini - kura 847
Hawa Ghasia - 440
Seleman Mwamba - 191
Ndungulile 368
Makonda 198 [emoji23][emoji23]
Napiga bia hapa
Mkuu kuwa na amani , labda hao wengine ila waitara akipata hata kura 15 basi atakuwa mwanamme ,"MASENARIES" wote hawatoboi.,,,Mtulia kashatulizwa bado "MESENARIES" wenzake.Jamani mwenye matokeo ya kigwangala ,waitara,January makamba naomba!
JESUS IS LORD[emoji120]
Naisubiri kwa Hamu sana!Tarime vijijini ni kesho
Kitwanga rafiki yake Magu Vs Mnyeti mtoto wa ndani kabisa wa familia ya the boss.
Kitwanga a.ka Mawe matatu atapumzishwa sasa, huku Mnyeti akipenya.
Tulikuwa wajumbe 398 tu mkuuKumekuchaaaaaaaaaaaaaaaaaaaahView attachment 1511820