samurai
JF-Expert Member
- Oct 16, 2010
- 11,495
- 24,223
huyu kijana hafai hata kupewa ujumbe wa nyumba kumi, akiingia chama chochote apewe kipindi cha matazamio miaka kumi ndio apewe nafasi ya kugombea nyadhifa ndani ya chama..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23]anatuchukulia poa watu wa Iringa Steve!Nasubiria gazeti reefuu la zama kujipa matumaini.
Steve ni kichekesho kingine anadhan ukaribu wake na wasanii utamsaidia kupata ubunge
Siyo tu ni nzaliwa wa Misungwi bali ni nyoka wa Mbunge aliekuwapo na ndiyo kamtoa kwenye ualimu kamfikisha hapo yeye na familia yake wote kawanyanyua juu na sasa wamemgeuka. Kuwa uyaone. Usimuamini mtu hapa duniani labda awe ndugu yako.
Sio kashindwa bali kachakazwaKwani kashindwa Mkuu wa mkoa wetu Mpendwa "aliyemaliza" muda wake?
Mungu wangu huyu mama atakuja kutunyoosha hadi baaasi.Kasulu
Prof. Joyce Ndalichako 397
Daniel Nsanzugwanko 78
Za wengine nitaweka baadaye
Abakie huko huko ana damu za watuhuyu kijana hafai hata kupewa ujumbe wa nyumba kumi, akiingia chama chochote apewe kipindi cha matazamio miaka kumi ndio apewe nafasi ya kugombea nyadhifa ndani ya chama..
Aliigwaya KaweMakonda anajua siasa. Kigamboni lazima ashinde jamaa alijipima kwenye mizani na alijua jimbo lipi atapita kirahisi.
Siyo tu ni nzaliwa wa Misungwi bali ni nyoka wa Mbunge aliekuwapo na ndiyo kamtoa kwenye ualimu kamfikisha hapo yeye na familia yake wote kawanyanyua juu na sasa wamemgeuka. Kuwa uyaone. Usimuamini mtu hapa duniani labda awe ndugu yako.
Duuh hapana mkuu matokeo badoSio kashindwa bali kachakazwa
Labda nccr,au tlp
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we acha tyuuiiYani chama cha ccm kinatuweka roho juu kama ndo uchaguzi mkuu?? Kweli chama dola
Makonda anajua siasa. Kigamboni lazima ashinde jamaa alijipima kwenye mizani na alijua jimbo lipi atapita kirahisi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Chadema wote wametelekeza uzi wao wamejazana hapaYani chama cha ccm kinatuweka roho juu kama ndo uchaguzi mkuu?? Kweli chama dola
Miaka 10 viti maalum 15 mbunge wa kuchaguliwa. Inatosha kbsa25 years!. Kwani F. Sumaye alikua jimbo gani mkuu kipindi akiwa PM?
Mtindo huu ndio aliyoifanya Mr shayo ambaye ni mmiliki wa ibra line na Mr priscus diwani wa Kata ya Kilimanjaro Kule Jimbo la Moshi mjini.kwa hiyo wajumbe walisha nunuliwa siku nyingi siku ya kupiga Kura ni kuweka tiki tu.ninadhsuri mgombea hao wawili waondolewe na upigaji kura urudiwe hapo ndipo atapatikana mgombea Safi wa CCM.ila kwa Hali ilivyo ni rushwa tu imetumika.Siasa za CCM Tanzania siyo ngumu. Ni kuangalia kila kata wajumbe wana mtizamo upi. Ikiwezekana wananunulika ama?
Mbatia Hana hamu thus ukumuona dodoma,le profu kachoka kabisa alitema big GiiIle ilikuwa danganya toto. Now CCM have revealed his true colour.