Uchaguzi 2020 Yaliyojiri upigaji kura za maoni za wagombea wa Ubunge na ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kupitia CCM - Julai 20-21, 2020
Nasubiria gazeti reefuu la zama kujipa matumaini.

Steve ni kichekesho kingine anadhan ukaribu wake na wasanii utamsaidia kupata ubunge
[emoji23][emoji23][emoji23]anatuchukulia poa watu wa Iringa Steve!
Akafie mbele huko

JESUS IS LORD[emoji120]
 
huyu kijana hafai hata kupewa ujumbe wa nyumba kumi, akiingia chama chochote apewe kipindi cha matazamio miaka kumi ndio apewe nafasi ya kugombea nyadhifa ndani ya chama..
Abakie huko huko ana damu za watu
 
Siyo tu ni nzaliwa wa Misungwi bali ni nyoka wa Mbunge aliekuwapo na ndiyo kamtoa kwenye ualimu kamfikisha hapo yeye na familia yake wote kawanyanyua juu na sasa wamemgeuka. Kuwa uyaone. Usimuamini mtu hapa duniani labda awe ndugu yako.

Najua kabebwa sana na mawe matatu,hivii kayombo hajagombea misungwi alikuwa mkurugenzi ubungo kisha akahamishiwa musoma
 
Dr.Tulia Ackson ambaye ni mtia nia wa Jimbo la Mbeya mjini leo 20.07.2020 ameshinda kwa kishindo kikubwa katika uchaguzi wa ndani wa CCM jiji la Mbeya kwa kupata kura 843 akifuatiwa na mshindi wa pili aliepata kura 16 na watatu kura 11.

1. Dk. Tulia Akson kura 843
2. Dk. Mahenge Mabula kura 16
3. Charles Mwakipesile kura 11.
 
Siasa za CCM Tanzania siyo ngumu. Ni kuangalia kila kata wajumbe wana mtizamo upi. Ikiwezekana wananunulika ama?
Mtindo huu ndio aliyoifanya Mr shayo ambaye ni mmiliki wa ibra line na Mr priscus diwani wa Kata ya Kilimanjaro Kule Jimbo la Moshi mjini.kwa hiyo wajumbe walisha nunuliwa siku nyingi siku ya kupiga Kura ni kuweka tiki tu.ninadhsuri mgombea hao wawili waondolewe na upigaji kura urudiwe hapo ndipo atapatikana mgombea Safi wa CCM.ila kwa Hali ilivyo ni rushwa tu imetumika.
 
Back
Top Bottom