ImeishaaaaaaaahSema kweli!
Mmh jmn ndo kwanza wanhesabu wako live acheni uzushiHongera yake Ex Mkuu wa Mkoa
Kutimiza demokrasiaSasa hawa wengine walikuwa wanagombea ili iweje?
Dah
Umenichekesha wewe.Ujiji ndio iamue mbunge!! Mbona population ya ujiji sio kubwa.Labda mtazamo wa wanakigoma kigoma kuwa muelekeo was ACT ya bwana zito.Kigoma huwaambii kitu kuhusu zito,sijui watamchoka lini!!!!Waziri wa Fedha Dr. Mpango anakabiliana na mhe. Obama mbunge anayetetea kiti hicho jimbo la Buhigwe. Kasulu mjini ni waziri wa Elimu Prof.lJoyce Ndalichako dhidi ya Daniel Nsanzugwako mbunge anayetetea jimbo hilo.
Dr Mpango anatokea eneo lililo pembeni mwa jimbo hilo na lenye wakazi wachache huku Obama akiwa mzaliwa wa Manyovu upande wenye wakazi wengi. Kwa upande wa Ndalichako huyu amekulia na kusomea Kigoma mjini japo asili
yao in Kasulu mjini.
Awali alikuwa agombe Kigoma mjini lakini akakimbilia Kasulu baada ya kuona jimbo hilo uamuzi wa kuwa mbunge huamliwa na wazee wa Ujiji ambao ni waislamu.
ImeishaaaaaaaaaaaMacho na masikio ni Kigamboni wazee,yaani huwezi amini nimepita eneo moja Wapo ukumbini kuteua lakini wote wanafatilia Kigamboni.
Ndio ivo mkuu kachukua kwakishindo!Whaaat?
Alhamdulillah.ImeishaaaaaaaahView attachment 1511838
Babeeeeeeeeeh soma hiyooooooooohKigamboni, Ubungo, Ilala, Kawe na Ukonga.... Matokeo yake niaje?
ImeishaaaaaaaahView attachment 1511838
Safiiiiiiiiiih woyoooooooooohKUTOKA JIMBONI SIHA
1. Dr Godwin Mollel........... *58*
2. Justine Kweka *85*
3. Lameck Munuo... *91*
4.AGGREY MWANDRY... *151*
5.Eng.Betson Maimu.... *231*
Eng. Betson Maimu... [emoji3581][emoji3581][emoji3581]
Mambo live
Kule Moshi mjini Kura zinaendelea kuhesabiwa Ila tengemea Mr shayo us Mr priscus waliotoa rushwa watashindwa kwa kishindo Cha nguvu ya fedha.Hapo kigamboni pia Kura zinaendelea kuhesabiwaJamani, tunaomb akujua kura za maoni kw Arusha Mjini, Kawe, Moshi Mjini, Misungwi, Ilemela, Nyamagana, Musoma Mjini Dodoma
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kazi ipoooImeishaaaaaaaaaaaView attachment 1511845