Haya ni wakati sasa wa kuamua au la
 
Kwahiyo tume haina nafasi? Halafu, ni wakristo wote au wazee wa wakristo? maana naweza nikawa mkristo na nikampigia kura yule ninayemtaka tofauti na mawzo ya wazee? Jamaa anasema wazee wa kiislam ndio wanao amua, sasa sijui matakwa ya myu mmoja mmoja yapo wapi? what if wazee wapo 20 na sisi tupo 100, yukapiga kura tofauti na wazee wanavyotaka, je kura zetu hazihesabiwi na tume? au tume wanawasikiliza wazee wanachotaka?
 
Ndugulile anaweza pata kura za huruma sababu katumbuliwa na juzi kafiwa na baba yake hivyo wanachama wanaweza muonea huruma wakampitisha.
Kuna wabunge wengine kama hawapo ville,me ndo nimeskia juzjuzi wakat wa Corona kuwa jamaa ndo wa kigamboni
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…