Nimesikia tokomeza ziroMambo live
Dea poleeeeeeeeeh tayari mtu kaliwa kichwaaaaaaaah
Siasa za CCM!! Unaweza sikia huko mbele vikao vya juu vimempitisha kua mgombea wao.Kesho kilio kanisani wallah
"Masenaries" wote hapiti hata mmoja waendelea kuomba na kubinya KENDE ili JPM atoboe ili awatue URC/DAS/RAS/DC/ basi.Dr Mollel chaliiii!
Nitafurahi sn"tokomeza zero" mbona kama Faustin Ndungulile ndiyo anashinda?
Dea poleeeeeeeeeh tayari mtu kaliwa kichwaaaaaaaah
Afadhali! Atulie ssAlikuwa anawasomesha mainjinia ETI SOMA HIYOOOO Leo kasomeshwa yeye na engineer nyambaaf
Ahahahaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we acha tyuuii
Alikuwa anawasomesha mainjinia ETI SOMA HIYOOOO Leo kasomeshwa yeye na engineer nyambaaf
yesuu wenu alitoa maagizo kuwa wapewe nafasi za upendeleoNauliza tu kwa wale wataalamu wa sayansi ya siasa kwamba hawa wahamiaji waliotoka CHADEMA kwenda CCM walitumia mbinu gani wakati wa uchaguzi mdogo hadi wakawagaragaza vibaya washindani wao kutoka CCM?
Maendeleo hayana vyama!
Hizo namba zinamanisha nn?M 14 F 28
Huyo labda Yesu ashuke ndiyo atashindaAmebaki waitara kesho
Tayariiiii hukoooooooooohShogaa mbona ndio wanahesabu