Uchaguzi 2020 Yaliyojiri upigaji kura za maoni za wagombea wa Ubunge na ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kupitia CCM - Julai 20-21, 2020
Aggrey Mwanry doesn’t learn from his mistakes. Alishakuwa Mbunge wa Siha na Waziri kabla ya kumkataa kwenye kura. Sasa akuyafanyia kazi yale yaliomfanya akashindwa?!
 
Engineer Soma Hiyoooooo. Engineer Kasoma Kaelewa, Mwanri Chali
 
Nauliza tu kwa wale wataalamu wa sayansi ya siasa kwamba hawa wahamiaji waliotoka CHADEMA kwenda CCM walitumia mbinu gani wakati wa uchaguzi mdogo hadi wakawagaragaza vibaya washindani wao kutoka CCM?

Maendeleo hayana vyama!
yesuu wenu alitoa maagizo kuwa wapewe nafasi za upendeleo
 
Back
Top Bottom