Uchaguzi 2020 Yaliyojiri upigaji kura za maoni za wagombea wa Ubunge na ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kupitia CCM - Julai 20-21, 2020
Jamani huu uzi si wa matokeo, ni wa joke tu.
Mnakumbuka yule engineer aliyekuwa anapewa amri kule Tabora!? Engineer somaa hiyo.

Sasa leo naona aliyekuwa anamsomesha namba engineer kasomeshwa yeye[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hongera mzee wangu Agrey Ila usicheze tena na ma engineeer

1. Dkt. Godwin Mollel - 58
2. Justine Kweka - 85
3. Lameck Munuo - 91
4. Aggrey Mwanry - 151
5. Engineer: Betson Maimu - 231

Ooooooh aaaaaaah
 
huyu kijana hafai hata kupewa ujumbe wa nyumba kumi, akiingia chama chochote apewe kipindi cha matazamio miaka kumi ndio apewe nafasi ya kugombea nyadhifa ndani ya chama..
Hivi cuf ilimwaminije huyu?
 
Back
Top Bottom