Eric Cartman
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 11,966
- 11,218
Kura bado mlima wanaongeza wahesabuMkuu kama ni kweli ' ameshachinjwa ' tafadhali nijulishe kwani nataka kwenda kutafuta Nyama Choma na Konyagi yangu nianze Kusheherekea.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kura bado mlima wanaongeza wahesabuMkuu kama ni kweli ' ameshachinjwa ' tafadhali nijulishe kwani nataka kwenda kutafuta Nyama Choma na Konyagi yangu nianze Kusheherekea.
Wasubirie viti maalumu,Dr Mollel chaliiii!
Jamani huu uzi si wa matokeo, ni wa joke tu.
Mnakumbuka yule engineer aliyekuwa anapewa amri kule Tabora!? Engineer somaa hiyo.
Sasa leo naona aliyekuwa anamsomesha namba engineer kasomeshwa yeye[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hongera mzee wangu Agrey Ila usicheze tena na ma engineeer
1. Dkt. Godwin Mollel - 58
2. Justine Kweka - 85
3. Lameck Munuo - 91
4. Aggrey Mwanry - 151
5. Engineer: Betson Maimu - 231
M for Makonda na F for Faustine Ndugulile.Hizo namba zinamanisha nn?
Waliwaachia tu!
Hakuna kituWakuu wa Wilaya watarajiwa hao
Niongezee mmenda tu,au nikuongezee nyingine mpesa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
woyooooooooooo
Wagombea wa insta wote wanapigwa za chembe!!Babu Tale nae vipi?
NDUNGULILENanikashinda
OPERATION TOKOMEZA ZERO.Naona Makonda wameamua kumchinja live
Mamluki aka Masenaries aka Mercenaries hawatoboi kabisa 100% wote wanatemeshwa viazi vya moto!!
Ooh,kumbe Mungu saidia tofauti iwe kubwa tuM 19 F 34
link hiyo. Matokeo live ya. Kigamboni
Hivi cuf ilimwaminije huyu?huyu kijana hafai hata kupewa ujumbe wa nyumba kumi, akiingia chama chochote apewe kipindi cha matazamio miaka kumi ndio apewe nafasi ya kugombea nyadhifa ndani ya chama..
Lol jamaa anakejeliOPERATION TOKOMEZA ZERO.