Bruno Toto
JF-Expert Member
- Oct 15, 2019
- 477
- 546
We sisi bado tunahesabu hapa we ndo unaleta upuuzi wako? Subiri tumalize kuhesabuNDUNGULILE
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We sisi bado tunahesabu hapa we ndo unaleta upuuzi wako? Subiri tumalize kuhesabuNDUNGULILE
Nipitie tafadhali, haifai kusheherekea peke yako hafla kubwa namna hii..!!Mkuu kama ni kweli ' ameshachinjwa ' tafadhali nijulishe kwani nataka kwenda kutafuta Nyama Choma na Konyagi yangu nianze Kusheherekea.
Kina Nassari wamelenga teuzi Kama watakosa ubunge,
Kwakweli Yesu amsaidie amsimamieChennel 10 wako live Kigamboni.
Faustine Ndugulile anaweza kutetea nafasi yake. Mungu msaidie
Jamani niwakumbushe kuna kuongoza kura za maoni na kuna kupitishwa kugombea. Hivi ni vitu viwili tofauti, tusifurahi leo tukaja kushangazwa siku ya kupitishwa na kamati kuu.
Hawakupigiwa kura za maoni na ndicho kilikuwa kilio cha maccmNauliza tu kwa wale wataalamu wa sayansi ya siasa kwamba hawa wahamiaji waliotoka CHADEMA kwenda CCM walitumia mbinu gani wakati wa uchaguzi mdogo hadi wakawagaragaza vibaya washindani wao kutoka CCM?
Maendeleo hayana vyama!
ImeishaaaaaaaaaaaView attachment 1511845
Shogaa mbona ndio wanahesabu
enda tu,au nikuongezee nyingine mpesa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
woyooooooooooo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We sisi bado tunahesabu hapa we ndo unaleta upuuzi wako? Subiri tumalize kuhesabu
Kuwa mpole, anashindaNaona Makonda wameamua kumchinja live
Kabla ya Zito alikuwepo Peter SerukambaKigoma Mijini waislam ni wengi kwa maana hiyo wao ndiyo waamuzi wa nani awe mbunge.
Ni Kama Zanzibar. Pale Mkristo akigombea hawezi kushinda.
Kwa hiyo usitoe povu sana wakati mwenzako kasema ukweli
Mwanri kashapigwa chiniKila la Heri Waheshimiwa Paul makonda, Gambo, katambi Ole sendeka na Mwanri[emoji122][emoji122]
yaani kapigwa kwa 60%[emoji23][emoji23]40%kagawana na akina mpokiMkuu Jamaa ' Kaanguka ' kweli au? Nataka nianze Kusheherekea na Kuwatafutia Mbuzi ' Kamati ya Roho Mbaya ' ya CCM Jimbo la Kigamboni.