Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
*Matokeo ya Kura za* *maoni ngazi ya* *ubunge Mbeya* *mjini* .. *idadi* *ya* *Kura* (924)Walioko huko watupe picha Betty ya joto lilivyo, Mbeya, Kigamboni, Arusha, Misungwi nk japo mie nabashiri vinara kuwa nje ya tatu bora.
Napunguza pressure kuwa mpoleeeeeeehBado, wako wanahesabu sahvi!
Sasa Sisi hii ' Link ' yako ya nini Mkuu? Unajua kabisa ' Interest ' yetu ni kujua kama Makonda kapita au hapana kwanini usitujulishe hadi Ututese?
Mkuuuu ulikuwa sahihi soma hiyoooooooooohView attachment 1511854
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaaaaahmwanangu akizaliwa ataitwa FAUSTINE NDUGULILE.
VitimaalumHivi Nape na January Makamba hawajatia nia kwenye majimbo yao!?
Yap, Mwanri atapitishwa kwa Siha ingawa kabwagwa na engineerJamani niwakumbushe kuna kuongoza kura za maoni na kuna kupitishwa kugombea. Hivi ni vitu viwili tofauti, tusifurahi leo tukaja kushangazwa siku ya kupitishwa na kamati kuu.
Mbona wapo wanahesabu au sio mubashara?yaani kapigwa kwa 60%[emoji23][emoji23]40%kagawana na akina mpoki
Huko wanaenda kupotea tu na kufa kisiasa!!Kisiasa ndo washapotea awarudi tena ,cheki kina kafulila
Mmmmh huyu kachukua nyingi mnoooh lol*Matokeo ya Kura za* *maoni ngazi ya* *ubunge Mbeya* *mjini* .. *idadi* *ya* *Kura* (924)
*1Tulia Ackson* =843
2.Vikita =01.
3.Mwakipesele =
Kamati ya Roho mbaya tukutane tuanze kuchangisha ....hatuna shughuli ndogo mimi natoa vinywajiMkuu Jamaa ' Kaanguka ' kweli au? Nataka nianze Kusheherekea na Kuwatafutia Mbuzi ' Kamati ya Roho Mbaya ' ya CCM Jimbo la Kigamboni.
Monduli itategemea na mazungumzo ya Chamwino yalivyokuwa.Mimi nakata kujua majimbo haya tu:-
1. Siha
2. Arumeru Mashariki
3. Kinondoni
4. Kilombero...
mkuu uko kigamboni?Makonda Chali kabisa. Ndugulile kamuacha mbaaali
Sasa hao wengine si bora wangeacha tu kugombea,ona sasa kilichowakuta*Matokeo ya Kura za* *maoni ngazi ya* *ubunge Mbeya* *mjini* .. *idadi* *ya* *Kura* (924)
*1Tulia Ackson* =843
2.Vikita =01.
3.Mwakipesele =11
4.Mwakaloge =2.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kura za huruma kwani jaji ni madam rita wa bss ?