Culture Me
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 10,490
- 21,398
Toooooooba, ataweka wapi sura yake jamaniiiiiiiiBabeeeeeeeeeh soma hiyooooooooohView attachment 1511846
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Toooooooba, ataweka wapi sura yake jamaniiiiiiiiBabeeeeeeeeeh soma hiyooooooooohView attachment 1511846
Idd Azzan na Musa Azzan ni ndugu??Zungu ni Mussa Azzan, Ilala!
Kura bado mlima wanaongeza wahesabu
Waliaminishwa upinzani unaenda kufa so wakawahi viti kumbe viti vina mwenyeweHuko wanaenda kupotea tu na kufa kisiasa!!
Kuwa mpoleeeeeeeeeeeeehZilizopigwa 549 ila ukijumlisha hizo za wagombea watatu jumla inakuwa 555 kwa hiyo hizo 6 zilizozidi ni za maruhani?
Mbona wanasema Makonda kaanguka jamanJaman kigamboni bado tuuuuuu ??????
Kwani hauko kwenye kikao cha mchujo sasa? Si utakuwa Jimboni tu hata kama umelisahahu.Tumbo joto mpaka nimeshasahau Jimbo nililochukua fomu.
Pressure ya nini?Napunguza pressure kuwa mpoleeeeeeeh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatareeeeeeh sanaaaaahAsante sana Mkuu, Asante sana Mwenyezi Mungu lakini Asante yangu Kubwa ni kwa Kamati ya Roho Mbaya ya CCM Kigamboni. Nina Furaha!!!!!