Mkuu unawasakama sana huyo Mr Shayo na huyo Mr Priscus haucomment chochote zaidi ya ya kuwataja majina Yao post nzima comments zako ni hao tu 😂😂

Kama una ushaidi wapeleke Takukuru, kumbuka kwenye mashindano kuna kushinda na kushindwa
Ushahidi mkuu ulishapelekwa
 
link hiyo. Matokeo live ya. Kigamboni
 
Nauliza tu kwa wale wataalamu wa sayansi ya siasa kwamba hawa wahamiaji waliotoka CHADEMA kwenda CCM walitumia mbinu gani wakati wa uchaguzi mdogo hadi wakawagaragaza vibaya washindani wao kutoka CCM?

Maendeleo hayana vyama!
Wahamiaji haramu?😂😂😂watajua kuwa hawajui kwanza zile kadi wanazopewaga usikute hata hazipo kwenye orodha ya wanachama yani hazijalipiwa hata ukimuuliza wewe unatoka tawi gani atakuambia Lumumba!!!!😂😂
 
Kura sasa zinahesabiwa live jiji lote la Dar es Salaam wanafuatilia

Live hewani matokeo kura zinahesabiwa

 
Kile ulichokiona kwenye uchaguzi wa marudio kwa hao mamluki toka upinzani, ndio style kabisa ya ushindi wa ccm. Ila sasa hivi wanadhalilika maana hawakuwa wanakubaliwa na wanacm, bali ilikuwa ni mpango wa siasa chafu za mwenyekiti na genge lake.
Mamluki aka Masenaries aka Mercenaries hawatoboi kabisa 100% wote wanatemeshwa viazi vya moto!!
 
Safi sana amekuwa wa mwisho wananchi hawamtaki mpuuzi huyu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…