Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndioIdd Azzan na Musa Azzan ni ndugu??
TayariPressure ya nini?
Sasa hawa wengine walikuwa wanagombea ili iweje?Ilemela Mwanza
Angelina Mabul=502
Israel Mtambalike=112
hayo matokeo yalishswekwa muda hapa!WATANZANIA AMJIONGEZI
MTU KATENGENEZA NANII YAKE
MAKONDA KASHINDWA ATI
SOMEN ALICHOANDIKA
TTL K 549
HESABUN ALICHOKIWEKA ZINAZIDI
MAKONDA MB WENU SUBIRINI
Bado wanaendelea.Tayari
Jamani naomba kuuliza hivi sasa makonda ni sawa na mimi tuu enh. Kwamba hata kwenye kivuko anashuka anaingia lobby kamasisi tuu!! Kwamba analipa sh kumi as 200 ya kivuko? Ama bado ana priveleji la mkuu wa mkoa mstaafu?Vitimaalum
CC ikipindua meza ikampa Makonda utafanyaje mkuu?Ngoja nijiandae sasa taratibu ili baadae nikasheherekee mahala kwa Furaha Kubwa niliyonayo na nahisi hata ' Magoma ' ya Posta yatanikopa Leo.
Ngapi sahiviNdugulile hii ni mashine wakuu
Sasa hawa wengine walikuwa wanagombea ili iweje?
Jamani naomba kuuliza hivi sasa makonda ni sawa na mimi tuu enh. Kwamba hata kwenye kivuko anashuka anaingia lobby kamasisi tuu!! Kwamba analipa sh kumi as 200 ya kivuko? Ama bado ana priveleji la mkuu wa mkoa mstaafu?
Huyu nae aachie wengine imetosha ssIlala
Mussa Azan Zungu =143
Sophia Mjema =103
Walishinda kwa maelekezoNauliza tu kwa wale wataalamu wa sayansi ya siasa kwamba hawa wahamiaji waliotoka CHADEMA kwenda CCM walitumia mbinu gani wakati wa uchaguzi mdogo hadi wakawagaragaza vibaya washindani wao kutoka CCM?
Maendeleo hayana vyama!