Sophia mgema tayari Chali, watu waliambiwa wàache tamaa
Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app
Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushahidi mkuu ulishapelekwa
Wewe Dada Tulia Kashinda Mbeya nakusalimia Tu ulisema utaomba sasa subiri uchaguzi mkuu huyo Sugu kwaheriFuatilia live kura zinahesabiwa
JESUS IS LORD[emoji120]
Nakazia apigweee..Apigwe nduli apigweeee..!!
Mashine Kali vibaya sanaNdugulile hii ni mashine wakuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaaani lolJamani naomba kuuliza hivi sasa makonda ni sawa na mimi tuu enh. Kwamba hata kwenye kivuko anashuka anaingia lobby kamasisi tuu!! Kwamba analipa sh kumi as 200 ya kivuko? Ama bado ana priveleji la mkuu wa mkoa mstaafu?
Oya mbona na Wewe sasa ' Unanichanganya ' tena? Nimeshaambiwa Makonda ' Kaangushwa ' na Ndugulile kapita mbona Sikuelewi tena sasa?
CC ikipindua meza ikampa Makonda utafanyaje mkuu?
Akome kudhihaki mainjinia, SOMA HIYOOO!!Siha Agrey Mwanry kaangushwa na Engineer😂😂😂
Mwana Simba mwenzio huyo lakiniMkuu kama ni kweli ' ameshachinjwa ' tafadhali nijulishe kwani nataka kwenda kutafuta Nyama Choma na Konyagi yangu nianze Kusheherekea.
Yaani wasaliti wote natmani wapigwe kifo cha mende. Hii ndio Ccm bwana..Kasulu Mjini
Prof. Joyce Ndalichako 397
Daniel Nsanzugwanko 78
Za wengine nitaweka baadaye
Kuwa mpoleeee baaas,Bado wanaendelea.