At Calvary
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 4,533
- 3,595
[emoji1745][emoji1745][emoji1745][emoji1745]Ouk relaaaaax
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1745][emoji1745][emoji1745][emoji1745]Ouk relaaaaax
Moja!! Hawakuwekewa wapinzani.Nauliza tu kwa wale wataalamu wa sayansi ya siasa kwamba hawa wahamiaji waliotoka CHADEMA kwenda CCM walitumia mbinu gani wakati wa uchaguzi mdogo hadi wakawagaragaza vibaya washindani wao kutoka CCM?
Maendeleo hayana vyama!
Kila mtu anataka kujua ya Kigamboni, Kawe na Ubungo hamtaki [emoji23][emoji23]Kigamboni bado tu
Zungu Mtoto wa Mjini kama Tarimba tuu,wanajua fitna zote za Dar.Huyu nae aachie wengine imetosha ss
JESUS IS LORD[emoji120]
Mnashindwa kutupa ni ngapi kwa ngapi
JESUS IS LORD[emoji120]
Tbc, channel10, cloud's..wanarusha live jiunge ujionee mwenyewengapi ngapi?
Yaaaaan na mie nashangaa, huko kwetu sijui Jenista imekuaje.Nimeshangaa kusikia Hawa Ghasia bado ni mbunge, kha