Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unafikiri ndo naacha kuomba,siachi pona yake tu km Mungu kamkusudia! Mkuu halafu mbona hapo bado sn!siku akishinda ubunge nisalimie tu mkuu!Wewe Dada Tulia Kashinda Mbeya nakusalimia Tu ulisema utaomba sasa subiri uchaguzi mkuu huyo Sugu kwaheri
Wanasema alitumwa. Lakini naona anatawanyika vibaya sana hapa..tumsikilize nani kwa Kigamboni?
ila ni kweli tunapenda Makonda ashindwe sababu kamdhihaki Rais wetu mpendwa kapewa cheo kikubwa usawa huu sote tuko kijiweni halafu kampuuza! hii si sawa!
Na ataipanua huduma kweliNgoja tumuone Gwajima anavyopanua huduma
Inatamkwa 1.3b...Bilioni moja na wewe acha kukuza vitu
Kwa kusikiliza tu makonda kaachwa sana, ndungulike kura zake zinatajwa zaidi ya mara tau au nne alafu ndio makonda moja au mbili na hiyo ndio trend..ndio kwanza wanahesabu live......
Hadi leo huijui FacebookMbona fb mi nimeona hii
Km ilivyotokea iringa kwa msigwa!Majimbo ambayo mshindi kawaacha wenzie kwa interval kubwa ni vyema wanaCCM wakaanza kushona suti mapema kabisa.
Kuna majimbo wapinzani hushindishwa na wanaCCM wenyewe kutokana na kura za hasira zitokanazo na hangover ya kura za maoni hasa wagombea wawili wakiwa na influence inayolingana au kukaribiana.
Tukitoka kigamboni tunahamia kaweKila mtu anataka kujua ya Kigamboni, Kawe na Ubungo hamtaki [emoji23][emoji23]
Kitila Mkumbo kashindaUBUNGOO VIPI