WATANZANIA AMJIONGEZI
MTU KATENGENEZA NANII YAKE
MAKONDA KASHINDWA ATI

SOMEN ALICHOANDIKA
TTL K 549
HESABUN ALICHOKIWEKA ZINAZIDI

MAKONDA MB WENU SUBIRINI
hayo matokeo yalishswekwa muda hapa!
Tusubiri kura ndo zinahesabiwa

JESUS IS LORD[emoji120]
 
Vitimaalum
Jamani naomba kuuliza hivi sasa makonda ni sawa na mimi tuu enh. Kwamba hata kwenye kivuko anashuka anaingia lobby kamasisi tuu!! Kwamba analipa sh kumi as 200 ya kivuko? Ama bado ana priveleji la mkuu wa mkoa mstaafu?
 
Ilala
Mussa Azan Zungu =148
Sophia Mjema =103
 
Jamani naomba kuuliza hivi sasa makonda ni sawa na mimi tuu enh. Kwamba hata kwenye kivuko anashuka anaingia lobby kamasisi tuu!! Kwamba analipa sh kumi as 200 ya kivuko? Ama bado ana priveleji la mkuu wa mkoa mstaafu?

Atapita darajani kuepuka hiyo fedheha
 
Nauliza tu kwa wale wataalamu wa sayansi ya siasa kwamba hawa wahamiaji waliotoka CHADEMA kwenda CCM walitumia mbinu gani wakati wa uchaguzi mdogo hadi wakawagaragaza vibaya washindani wao kutoka CCM?

Maendeleo hayana vyama!
Walishinda kwa maelekezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…