NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
Hivi hawa wanaopata 0 (sifuri) hawakushiriki kupiga kura?mpanda vijijini wametangaza muda huu
moshi kakoso-437
lusesa-19
Mayeka-06...
Na mm niweke alama hapa
Kondoa vip?Dr Kigwangalla anaomba dua zetu aweze kushinda!
Alikuwa mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya SameMay be wa wilaya,ngoja nimuulize victorie
Eti Anaclare shija alikuwa mkuu wa mkoa au wilaya? Na ni ipi?
JESUS IS LORD[emoji120]
Nilifaulu mno hesabu, mie nachangamsha uziFake
rudishule PIGA hesab twna
Kama sio mjumbe haruhusiwi kupiga kuraHivi hawa wanaopata 0 (sifuri) hawakushiriki kupiga kura?
Siha
1. Dkt. Godwin Mollel - 58
2. Justine Kweka - 85
3. Lameck Munuo - 91
4. Aggrey Mwanry - 151
5. Eng. Betson Maimu - 231
Wamarangu watu wa ovyo sana.. Yaani mnamuacha Kimei kweli?? Huyo Koola ndo nani?Kuna mtu kabadilisha hapo Kimei amepitwa na kura kama 9
Utasababisha nifukuzwe uku bwana utaniita chit chat ukoShunie
Kaangushwa na kauli ya mkulu! ... Mkulu ana deni la kulipa!Mkuu huyo ndiyo ' ameshakwisha ' na kuna Watu kama Wawili hivi ' wamemdanganya ' kuwa ' anakubalika ' huko na ' wamemlia ' mno Pesa zake.
Tulia unyolewe hapo,Kuna nini kwani ?