Usipende sana kujadili vitu ambavyo huvijui mwaka 2005. Peter Serukamba(Mkristo) alimshinda Dr Warid Kabourou( Muislam), unalifahamu hilo ? ndio maana nashangaa mnavyoandika msivyovijua kabisa
Mwaka huu anautaka ubunge kwa udi na uvumbaHahahaaaa........ Wassira bungeni tangu 1970!
Angalia tu jina Prof Joyce Lazaro Ndalichako.
Hicho tu kinampunguzia kura Kigoma Ujiji.
Ujiji panamfaa Zitto Zuberi na Abdul Nondo
Na zungumzia wale wazee waislamu ujiji vip wamebadilisha msimamo sasa ?Siasa za 2005 ni tofauti na 2020.
Sera na mahitaji yamebadilika
Huu ni ushahuri bila shaka wataufanyia kazi wakina NdalichakoHawa kina ndali na wenzao wanatakiwa kuondoka tu
Wawaachie damu changa na mpya yenye kasi na akili timamu
Ila nayo kuipata hii damu changa kuna mtihani kwa sasa
Sent from my SM-J530F using JamiiForums mobile app
Kinondoni kilombelo Tunduma TemekeKuna majimbo nami nayasubiri kwa shauku sana kujua CCM wanasimamisha wagombea wapi?
Haya kumeshakucha tena La mgambo likilia ujue kuna jambo.
Kwa mujibu wa ratiba ya CCM, leo na kesho ni siku ya Mikutano Mikuu ya CCM ya Majimbo/Wilaya kupiga kura za maoni za wagombea wa ubunge na ujumbe wa baraza la wawakilishi
Kura za maoni kwa wabunge wa tiketi ya CCM zinaanza kupigwa leo lakini watanzania wataelekeza zaidi macho na masikio yao maeneo yenye upinzani mkali.
Kigamboni, Arusha mjini, Simanjiro, Kyela, Mbeya mjini, Mwibara, Misungwi, Same Mashariki, Tunduma, Tarime Vijijini na Ubungo ni baadhi ya maeneo yanayoangaliwa kwa jicho la tatu.
Ngoja tuone.
Up dates:
Maendeleo hayana vyama!
Hata Gwajima naemimi nasubiri kwa Lijuakali kilombero...ccm wasipompitisha watalaaniwa
Wanamuogopa "yule jamaa" huenda akaamka vibaya akawakata.Hivi nape na January makamba hawajatia nia kwenye majimbo yao!?
Haya kumeshakucha tena La mgambo likilia ujue kuna jambo.
Kura za maoni kwa wabunge wa tiketi ya CCM zinaanza kupigwa leo lakini watanzania wataelekeza zaidi macho na masikio yao maeneo yenye upinzani mkali.
Kigamboni, Arusha mjini, Simanjiro, Kyela, Mbeya mjini, Mwibara, Misungwi, Same Mashariki, Tunduma, Tarime Vijijini na Ubungo ni baadhi ya maeneo yanayoangaliwa kwa jicho la tatu.
Ngoja tuone.
Up dates:
Maendeleo hayana vyama!
kubadilishana majimbo hivi waliongeaNdalichako anagombea Kasulu.
Serukamba ni mgalatia lakini alikuwa mbunge wa Kigoma mjini kabla hawajabadilishana majimbo na Zitto!
Hata Gwajima nae
Na hakuna atakaye teuliwa kugombea bila ya kuleta kwangu kuku mtetea ambaye ni mjane.Hakuna mtia nia atakayepita bila kuleta mbuzi mweupe kwangu!!!
Mbona nasikia hajachukua fomu mkuu!
Kuna wabunge wengine kama hawapo ville,me ndo nimeskia juzjuzi wakat wa Corona kuwa jamaa ndo wa kigamboni
Achana na mtoa povu huyo, hajui historia ya Ujiji. Kulikuwa na Mkuu wa Mkoa akiitwa Mzindakaya anaelewa nguvu ya wazee wa Ujiji. Walimwambia Serukamba nenda jimbo la Zitto la Kigoma Kaskazini na Zitto aje huku Kigoma mjini na wote mtakuwa wabunge na ikawa japo vyama tofauti. Amtafute Serukamba ilikuwaje.Inaonekana huna exposure ya kutosha kujua desturi za sehemu husika.
Mfano Moshi ni Wakristo. Ila kinachoamua ni nani awe Mbunge ni mgombea kuwa mzawa wa asili wa eneo husika.
Akiwa muislamu hawezi kushinda labda awe na msimamo wa wastani na pia eneo husika kuwe na waislamu wengi na wasabato mfano same na mwanga
Nasubiria tu hapo Nyamagana kama ile historia itaendelea ya Mbunge wa jimbo haongozi vipindi viwiliIlemela na Nyamagana napo si haba!