Uchaguzi 2020 Yaliyojiri upigaji kura za maoni za wagombea wa Ubunge na ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kupitia CCM - Julai 20-21, 2020
Usipende sana kujadili vitu ambavyo huvijui mwaka 2005. Peter Serukamba(Mkristo) alimshinda Dr Warid Kabourou( Muislam), unalifahamu hilo ? ndio maana nashangaa mnavyoandika msivyovijua kabisa

Siasa za 2005 ni tofauti na 2020.

Sera na mahitaji yamebadilika
 
Kabla ya Zitto kulikuwa na Peter Serukamba kwa miaka kadhaa....acheni udini.
Angalia tu jina Prof Joyce Lazaro Ndalichako.

Hicho tu kinampunguzia kura Kigoma Ujiji.

Ujiji panamfaa Zitto Zuberi na Abdul Nondo
 
Haya kumeshakucha tena La mgambo likilia ujue kuna jambo.

Kwa mujibu wa ratiba ya CCM, leo na kesho ni siku ya Mikutano Mikuu ya CCM ya Majimbo/Wilaya kupiga kura za maoni za wagombea wa ubunge na ujumbe wa baraza la wawakilishi

Kura za maoni kwa wabunge wa tiketi ya CCM zinaanza kupigwa leo lakini watanzania wataelekeza zaidi macho na masikio yao maeneo yenye upinzani mkali.

Kigamboni, Arusha mjini, Simanjiro, Kyela, Mbeya mjini, Mwibara, Misungwi, Same Mashariki, Tunduma, Tarime Vijijini na Ubungo ni baadhi ya maeneo yanayoangaliwa kwa jicho la tatu.

Ngoja tuone.

Up dates:

Maendeleo hayana vyama!

mimi nasubiri kwa Lijuakali kilombero...ccm wasipompitisha watalaaniwa
 
Haya kumeshakucha tena La mgambo likilia ujue kuna jambo.

Kura za maoni kwa wabunge wa tiketi ya CCM zinaanza kupigwa leo lakini watanzania wataelekeza zaidi macho na masikio yao maeneo yenye upinzani mkali.

Kigamboni, Arusha mjini, Simanjiro, Kyela, Mbeya mjini, Mwibara, Misungwi, Same Mashariki, Tunduma, Tarime Vijijini na Ubungo ni baadhi ya maeneo yanayoangaliwa kwa jicho la tatu.

Ngoja tuone.

Up dates:

Maendeleo hayana vyama!

Mimi nakata kujua majimbo haya tu:-

1. Siha
2. Arumeru Mashariki
3. Kinondoni
4. Kilombero
5. Monduli
6. Tunduma
7. Temeke
8. Simanjiro
9. Tandahimba
10. Tarime Vijijini.
 
Inaonekana huna exposure ya kutosha kujua desturi za sehemu husika.

Mfano Moshi ni Wakristo. Ila kinachoamua ni nani awe Mbunge ni mgombea kuwa mzawa wa asili wa eneo husika.

Akiwa muislamu hawezi kushinda labda awe na msimamo wa wastani na pia eneo husika kuwe na waislamu wengi na wasabato mfano same na mwanga
Achana na mtoa povu huyo, hajui historia ya Ujiji. Kulikuwa na Mkuu wa Mkoa akiitwa Mzindakaya anaelewa nguvu ya wazee wa Ujiji. Walimwambia Serukamba nenda jimbo la Zitto la Kigoma Kaskazini na Zitto aje huku Kigoma mjini na wote mtakuwa wabunge na ikawa japo vyama tofauti. Amtafute Serukamba ilikuwaje.
 
Back
Top Bottom