Hivi ukishapita kwenye kura za maoni ndo umepita au unaweza kukatwa huko mbele even wananchi wamekuchagua wewe?
Hiyo ni sawa na kuingia fainali mkuu ila mechi bado kule Dodoma ndio kwenye kichinjio, sasa inategemeana aliyeshika kichinjio kaamuke vipi siku hiyo.
 
Umeshanitajia za Mtu Wangu na Mtanzania Mstaarabu sana Faustine Ndugulile je, Kura za hilo ' Bwege Nazi ' langu ni ngapi? Nijuze haraka Mkuu.

Macho yote tunamtizama Paul Makonda aende mwenyewe live kuhesabu kura zake na kusaini kushindwa.

Tayari independent observers tayari wameshaona ushindi wa Dr. Ndugulile ila muda si mfupi msimamizi anatangaza ushindi rasmi wa Dokta

MATOKEO KIGAMBONI, MAKONDA CHALII, NDUGULILE AIBUKA KIDEDEA...
source : Global tv online
 

Asante Mkuu naenda ' Kubandua ' Goma langu moja hivi kwa Furaha Kubwa nilionayo na nitarejea tena hapa Jamvini Saa 4 Kamili baadae byee!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…