πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œkhaaaaa
Nimekimbizana na uzi mpaka nimechoka, nikaanza kuruka pg, haitoshi nikaanza kuruka comments nasoma zenye likes nyingi.

Napo naona bado nashindwa kuendana na kasi. Kwaherini, nitasoma font page kwani nimeweka nia gani mpaka mnitie njaa hivi...
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ni kweli kaka, tukizungumza kiutendaji ndugulile hakuna kitu. Uchaguzi wa 2015 alibebwa saana kwa wizi na nguvu mpaka akapita, kama sikosei CHADEMA alisimamishwa mmama flani hivi. Yule mmama watu wa kigamboni ndo twaamini alipita.

Ni vile tu kwamba Makonda anaweza akawa na makando kando lakini jamaa ni mfuatiliaji wa mambo, tofauti kabisa na ndugulile. Mengine ni aibu kuandika hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…