Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Wanasema keshoVp kawe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanasema keshoVp kawe?
Anamfariji makondaHuyu jamaa anayetaka kusoma matokeo anaonekana kabisa ni mtu wa Makonda..simuelewi!
labda anaogopa baada ya kutoka hapo ukumbini anaweza akapotea[emoji23][emoji23][emoji23]Huyu chizi anayetangaza matokeo kigamboni ukimsikiliza vizuri utajua wazi kuna kitu kinapikwa huko mbeleni kwenye kamati zao ili makonda aje kupitishwa ubunge.
Eti kinakomalia point kuwa eti leo hakuna mshindi.
Ndugai naye imetosha ss! SubiriMatokeo ya kura za maoni katika Jimbo la Kongwa, Dodoma kwa watia nia wa Chama cha Mapinduzi (CCM):
Job Ndugai: 850
Dkt. Samora Mshanga: 20
Isaya Mngulumi: 19
Pumzisha macho kidogo mkuu.Ukitagiwa namimi nitag maana macho yamechoka
Nani huyo?Mwingine tena huko temeke kashaangukia pua
Godwin Molel kapitajeee yani amepita haiwezekani!Duh! Mwanry!
Anabebwa kwa mbeleko ipi mkuu na ZIRO?Makondakta chaliiiiii,... labda Jiwe ambebe vinginevyo nae atabaki civilian kama sie hapa
Nasubir tokeo mamUsiondoke bwana karibia wanatangaza nipo nawaangalia kwa tv
Mbona nimeona wamesema ameshinda?Makondakta chaliiiiii,... labda Jiwe ambebe vinginevyo nae atabaki civilian kama sie hapa
Check live youtube wanatangaza muda huu.Sweetheart, nitag basii wakiweka matokeo ya kuaminika, maana nakimbizana na thread mpaka pumzi imekata lol.!!