Uchaguzi 2020 Yaliyojiri upigaji kura za maoni za wagombea wa Ubunge na ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kupitia CCM - Julai 20-21, 2020
Huu mchakato wa CCM una kasoro yaani uchukuwe fomu halafu hakuna campaign; huo ushawishi wa kupigiwa kura unatokana na nini.

Uchaguzi wa namna hii unapendelea incumbencies na watu almaarufu; wengine ni wasindikizaji tu.
Ah mgombea anapataje kura 0 ina maana hata yy mwenyewe hajajipigia kura ? Na kalaki kake kamekwenda pyeeeeee bora angenunua mbuzi akala mwezi mzima
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti pyeeeeeeh, khaaaaj
 
Ah mgombea anapataje kura 0 ina maana hata yy mwenyewe hajajipigia kura ? Na kalaki kake kamekwenda pyeeeeee bora angenunua mbuzi akala mwezi mzima
Wanasema ukiona Kura sifuri ujue hakuwa na sifa ya kujipigia kula
 
Back
Top Bottom