Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itategemea na mwenyekiti ameamkaje siku hiyo full stop.Kutiwa cross inachagizwa na mambo mengi. Si kwamba unatiwa tu cross. Zamani michakato ilikuwa inaambatana na rushwa.
Hilo suala la kusema mwenyekiti kaamkaje ni mazungumzo tu baada ya habari sababu mwenyewe alishaongea sana tu kuwa watu walihamia upinzani sababu walikuwa wanakubalika ila waliondolewa kwa hila.
Hilo ameliongea sana kuliko hilo la kusema anakata. Bahati mbaya mmekremu la kukata tu.
Ndungulile kashindaChaliiiii
JESUS IS LORD[emoji120]
Kweli.....na ndiye waziri wako mkuu.Hebu sema ukweli khaaaaah
Yaaaan weee acha tu, tumbo linauma kwa kweli, plz matokeo unambie nijue mmmmhSubiri babe ujilewee zako heinekenn
Ndugulile kashinda MkuuSo sad Makonda kashinda Kigamboni
Makonda 122 Ndungulile 190Jamani matokeo kigamboni vipi?
Unashangilia jamaa ni jembe au unashangilia makonda kushindwa?Ndugulile Oyeeeeeee