Uchaguzi 2020 Yaliyojiri upigaji kura za maoni za wagombea wa Ubunge na ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kupitia CCM - Julai 20-21, 2020
Kutiwa cross inachagizwa na mambo mengi. Si kwamba unatiwa tu cross. Zamani michakato ilikuwa inaambatana na rushwa.

Hilo suala la kusema mwenyekiti kaamkaje ni mazungumzo tu baada ya habari sababu mwenyewe alishaongea sana tu kuwa watu walihamia upinzani sababu walikuwa wanakubalika ila waliondolewa kwa hila.

Hilo ameliongea sana kuliko hilo la kusema anakata. Bahati mbaya mmekremu la kukata tu.
Itategemea na mwenyekiti ameamkaje siku hiyo full stop.
 
Back
Top Bottom