Uchaguzi 2020 Yaliyojiri upigaji kura za maoni za wagombea wa Ubunge na ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kupitia CCM - Julai 20-21, 2020
Huyu chizi anayetangaza matokeo kigamboni ukimsikiliza vizuri utajua wazi kuna kitu kinapikwa huko mbeleni kwenye kamati zao ili makonda aje kupitishwa ubunge.

Eti kinakomalia point kuwa eti leo hakuna mshindi.
labda anaogopa baada ya kutoka hapo ukumbini anaweza akapotea[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nikweli kashinda kwa kura 172. Wapili ana kura 72.
 
panga la ccm Ni hatari kweli....
Screenshot_20200720-191355.jpg


Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
 
Kuna mchuano mkali Jimbo la kigamboni kati ya Makonda vs Ndugulile kati ya hawa mmoja huyooo kaula
Hongereni
Ndugai
Ndalichaki
Lukuvi +
Mwenye mabasi yake Abood
Kwa kushinda kwa kura nono Kama Sangara
 
Back
Top Bottom