Matokeo ya kura za maoni katika Jimbo la Kongwa, Dodoma kwa watia nia wa Chama cha Mapinduzi (CCM):

Job Ndugai: 850

Dkt. Samora Mshanga: 20

Isaya Mngulumi: 19
 
Kutiwa cross inachagizwa na mambo mengi. Si kwamba unatiwa tu cross. Zamani michakato ilikuwa inaambatana na rushwa.

Hilo suala la kusema mwenyekiti kaamkaje ni mazungumzo tu baada ya habari sababu mwenyewe alishaongea sana tu kuwa watu walihamia upinzani sababu walikuwa wanakubalika ila waliondolewa kwa hila.

Hilo ameliongea sana kuliko hilo la kusema anakata. Bahati mbaya mmekremu la kukata tu.
 
Mkuu hawa ' Waandamizi ' waliponihakikishia kuwa ' wanammaliza ' Mtu sikuwaamini na bahati hao ' Waandamizi ' Jamaa ' alishawatishia ' sana tu.
Hawa ndio walikuwa wanadaiwa wametumwa na baba,kule Siha Mwanri chali na kule Vunjo nasikia Daktari wa CRDB nae chali,hawa badala ya kulea wajukuu wanakaba hadi penalti sijui yule mwingine mzee wa TAA,TANU kule Bunda kama atakuwa amepona.
 
Huyu chizi anayetangaza matokeo kigamboni ukimsikiliza vizuri utajua wazi kuna kitu kinapikwa huko mbeleni kwenye kamati zao ili makonda aje kupitishwa ubunge.

Eti kinakomalia point kuwa eti leo hakuna mshindi.
 
Kuna watu wanashangaza sana mtu umeambiwa utangaze matokeo unaanza hadithi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…