BLUE DOG
JF-Expert Member
- Dec 10, 2016
- 717
- 1,225
Mwingine tena huko temeke kashaangukia puanimefrah sana hii.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwingine tena huko temeke kashaangukia puanimefrah sana hii.
Makonda kura hazitoshiWewe unaishi! Mimi mzaliwa wa Kigamboni kabisa tena ni jirani na kwao. Ila nakuunga mkono huyu Ndugulile sio mchapakazi kabisa, hana la maana alilolifanya Kigamboni.
Na sijui wanamchagua kwa maslahi gani? Mimi binafsi tukiachana na itikadi tukaongelea maendeleo ni bora tumpe MAKONDA
Usiondoke bwana karibia wanatangaza nipo nawaangalia kwa tvSweetheart, nitag basii wakiweka matokeo ya kuaminika, maana nakimbizana na thread mpaka pumzi imekata lol.!!
Ukitagiwa namimi nitag maana macho yamechokaSweetheart, nitag basii wakiweka matokeo ya kuaminika, maana nakimbizana na thread mpaka pumzi imekata lol.!!
Wasaliti ni watu wa kuchoma moto.Kipara kimezidi kunyonyoka zaidi [emoji38][emoji38]
Kutiwa cross inachagizwa na mambo mengi. Si kwamba unatiwa tu cross. Zamani michakato ilikuwa inaambatana na rushwa.Sasa safari hii minyukano itakua mikali zaidi coz wingi wa kura sio ushindi bali itategemea na mwenyekiti siku hiyo ameamkaje maana yeye ndiyo ataeendesha vikao vya kujadili majina yote na kuamua nani atiwe krosi nani apewe ridhaa.
Walioshinda na kutiwa krosi na mwenyekiti lazima wataleta minyukano.
Imekuaje mzee?Duh! Mwanry!
Hawa ndio walikuwa wanadaiwa wametumwa na baba,kule Siha Mwanri chali na kule Vunjo nasikia Daktari wa CRDB nae chali,hawa badala ya kulea wajukuu wanakaba hadi penalti sijui yule mwingine mzee wa TAA,TANU kule Bunda kama atakuwa amepona.Mkuu hawa ' Waandamizi ' waliponihakikishia kuwa ' wanammaliza ' Mtu sikuwaamini na bahati hao ' Waandamizi ' Jamaa ' alishawatishia ' sana tu.
Uzi una speed hatariUkitagiwa namimi nitag maana macho yamechoka
Kati ya wilaya mbayaa na ambazo hazina formula ni hii sijui watu wanawezaje ku-survive kule 😟Matokeo ya kura za maoni katika Jimbo la Kongwa, Dodoma kwa watia nia wa Chama cha Mapinduzi (CCM):
Job Ndugai: 850
Dkt. Samora Mshanga: 20
Isaya Mngulumi: 19