Turudi pale Rau Madukani
JF-Expert Member
- Jan 16, 2016
- 2,339
- 5,112
! Asituletee uingaHuyu chizi anayetangaza matokeo kigamboni ukimsikiliza vizuri utajua wazi kuna kitu kinapikwa huko mbeleni kwenye kamati zao ili makonda aje kupitishwa ubunge.
Eti kinakomalia point kuwa eti leo hakuna mshindi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyu chizi anayetangaza matokeo kigamboni ukimsikiliza vizuri utajua wazi kuna kitu kinapikwa huko mbeleni kwenye kamati zao ili makonda aje kupitishwa ubunge.
Eti kinakomalia point kuwa eti leo hakuna mshindi.
Duuhh.... Kulaleki walahi...Mwana kulitafuta....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hili nalo limeanza kuhubiri badala ya kutangaza matokeo
Ana mawazo!huyu mtu kutangaza matokeo ni tatizo?
Wanamrudisha Mtemvu? Siyo mtendaji hata kidogo. Sema nimefurahi pia mbunge wa sasa ameliwa kichwa. Hakuwahi kufanya lolote. Temeke maendeleo ni duni sana sana. Ni siku hizi tu TARURA wameamua kunusuru hata barabara.Temeke mtolea chaliii!
Kura -22[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1511927