Mwingereza
JF-Expert Member
- Jan 21, 2014
- 1,115
- 2,771
Jamaa kaachia uRc akidhani ana pendwaMatokeo ndiyo hayo.
Wapiiiiiiiiiih hukoooooooooohKamati ya roho ya mbaya tunakutana wapiiii wapi Genta
Na kapitaaaaaaaaaah
WoyooooooooooooooooooooooooooooooooooooooohNdugulile kashinda
Wooooyooooo[emoji2956][emoji2956][emoji2956][emoji2956][emoji2956]Woyooooo
Mshindi mwenye nyingi.... lakini MC amesisitiza kwamba leo hakuna mshindi
iiiiiii naenda naenda kuse kuse kusema kwa ba ba baba...Naenda kumwambia baba
Toto likiwa halijielewi unaachana nalo hata kama umelizaaDADDY IS COMING!
Hahaa anaulizwa clouds amasema eti hakuna video yoyote aliyoomba kuraWasanii mjifunze, acheni shobo na siasa, mpoki kapata kura-0
#BREAKING: Aliyekuwa Naibu Waziri wa Afya Faustine Ndugulile @DocFaustine ameibuka mshindi wa kura za maoni Kigamboni kwa kupata kura 190, mshindi wa pili ni aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa DSM Paul Makonda mwenye kura 122.