Uchaguzi 2020 Yaliyojiri upigaji kura za maoni za wagombea wa Ubunge na ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kupitia CCM - Julai 20-21, 2020
#BREAKING: Aliyekuwa Naibu Waziri wa Afya Faustine Ndugulile @DocFaustine ameibuka mshindi wa kura za maoni Kigamboni kwa kupata kura 190, mshindi wa pili ni aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa DSM Paul Makonda mwenye kura 122.
 
Screenshot_20200720-192728.png
 
Regardless ya matokeo, binafsi naamini Makonda lazima mwisho wa siku atapitishwa na baba'ke, kwanza,Ndugulile anaonekana na Magufuli ni mtu asieweza kwenda na kasi yake ( siku anatumbuliwa unaibu waziri wa afya Magufuli alimwambia n/waziri halafu hospitali zako zinakosa madawa!), lakini pia, Makonda anaonekana ana siri za Magufuli, hawa watu wanalindana kwa sababu ya interest zao.
 
Back
Top Bottom