Jifarijini tu...Baba kasema anaweza mchagua hata alioshika nafasi ya tano mkuu usisahau akachaguliwa na kamat kuu
Natamani Gambo, Makonda, Gwajima, msando piga nje
Ccm haijawahi kuwa na faida kwa nchi hii.ujinga wa watanzania ndo unafanya kionekane nacho ni chama cha siasaHapo ndipo wapinzani huwa wanapata majimbo kirahisi kwakutoheshimu wapiga kura,mwenyekiti akiruhusu huo ujinga chamani CDM watajichukulia majimbo yenye ujinga huo
Kabisa atalala usingizi unono.Alikua ana mawazo sana naona leo atalala kwa amani
Dah na kama hakujiandaa atarudi Igoma kulima.
Lijualikali naye vipi?Dogo aende ACT au NCCR
Magufuli akimteua Makonda tutaandamana bila kujali chama
Hivi Nape na January Makamba hawajatia nia kwenye majimbo yao!?
Hawa watu October wapumzikeBdo jiwe naye akumbane na fedheha yake kwa Membe
Heri mwenzio kajarbu, wewe je?Binadamu hatosheki yaani Kimei bado anapambana tu ?
Anaweza kuwa alipewa chake Mapema.. Anashindwa cha kufanya..Anamfariji makonda
Mfuga matako chaliiiiiii
Wamesema kwamba kura za maoni wamepiga kiutamaduni utamaduni.