Uchaguzi 2020 Yaliyojiri upigaji kura za maoni za wagombea wa Ubunge na ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kupitia CCM - Julai 20-21, 2020
Hapo ndipo wapinzani huwa wanapata majimbo kirahisi kwakutoheshimu wapiga kura,mwenyekiti akiruhusu huo ujinga chamani CDM watajichukulia majimbo yenye ujinga huo
Ccm haijawahi kuwa na faida kwa nchi hii.ujinga wa watanzania ndo unafanya kionekane nacho ni chama cha siasa
 
Kuna mgombea hatajiwi tajwi sana Ila naye ana mvuto wa kipekee. Bosco George Simba naye yumo. Sijui harakati zake Sana za Kisiasa lakini namjua kama meneja wa SACCOS ya waalimu Moshi Vijijini na mfanya biashara anayemiliki bar ya Hugo's garden. Huyu ni Shemeji yake na mbunge wa zamani wa jimbo la Moshi vijijini ambaye ni Cyril Chami. Kama mtakumbuka 2015 Mdogo wake na Bosco alikaribia kuuwawa na wananchi wenye hasira kali kwa kushiriki kumuibia Kura Shemeji yake ambaye ni Cyril Chami. Wananchi walivunja vunja Gari yake ambayo ni number T 756 CPB aina ya Verosa. Maswali wananchi wanayojiuliza watu ni kuwa
1) SACCOSS ya waalimu itaamua nini baada ya Meneja wake kushiriki Siasa za vyama ambazo zitaweza kuwagawa wanachama wake.
2) Watu wameanza kuhoji huenda ni Cyril Chami anataka kurudi kwenye uongozi wa Jimbo hili kwa kutumia Mgongo wa Shemeji yake.
3) Watu wanaanza kuhoji kuhusu zilipokwenda Milioni 500,000 alizozitoa Lowassa kwa ajili ya Saccos ya waalimu hivyo wanataka kutumia eneo Hilo Kama njia ya kumwadhibu. Habari za Mdogo wake Bosco George Simba kutaka kuchomwa Moto zilienea Sana na gazeti la Mwananchi liliripoti:- https://www.mwananchi.co.tz/uchaguz...peni-meneja/2927048-2930012-2kkt8i/index.html picha ya mdogo wake akiwa chini ya ulinzi itafuata kama akishinda Kura za maoni.
 
Sasa ngoja nizime data zangu nadhan habari zimeisha.
Makonda karibu usugue bench
 
Back
Top Bottom