johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Dr Kigwangalla anaomba dua zetu aweze kushinda!Kumekucha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dr Kigwangalla anaomba dua zetu aweze kushinda!Kumekucha
Sawa kiongozi nimekuelewa sana kwamba Mnyeti mtu wa familia ila Kitwanga kwa kuwa ni rafiki wa Jiwe na kwamba Ubunge ameukosa imani yangu ni kwamba baada ya uchaguzi wa 2020 atapewa uteuzi wowote ule hatamwacha hivi huviYule ni mwanae sana tena saana,sidhani kama atamuacha hivi hivi tu mikono mitupu.
Uko sawa kabisa mkuu.Sawa kiongozi nimekuelewa sana kwamba Mnyeti mtu wa familia ila Kitwanga kwa kuwa ni rafiki wa Jiwe na kwamba Ubunge ameukosa imani yangu ni kwamba baada ya uchaguzi wa 2020 atapewa uteuzi wowote ule hatamwacha hivi huvi
Natumai panapimajaliwa mwaka 2025 hii ada lazima ipande..hata mwaka huu ingepanda sema hawajashtukia mchezo mapema kama watu watakua wengi kiasi hikiCCM imetengeneza 1,036,100,000 kupitia ada za fomu za ubunge na uwakilishi. kweli mwenye nacho huongezewa.
bado nasikia kuna michango mbalimbali isiyo rasmi wanatakiwa kulipia mbali na hiyo ada
Ngoja nivute soda kusubiri maana niliiacha tungi!Mda si mda ntawaletea matokeo ya Arusha mjin. Stay tungi
Ester Bullaya si ester mmassy
Kwhy sahv waislam wamezidi mahitaji..acha kushupalia mambo kama Juma Lokole wewe
Stay tungi?!Mda si mda ntawaletea matokeo ya Arusha mjin. Stay tungi
Usinifundishe. Nilichokiandika ni sahihi
Toa ufafanuzi mkuu
Hivi ule wimbo unaitwa mapepeee mapepeee umeimbwa na nani vile?
Ester Michael Mmassy anagombea Moshi Vijijini, Ester Amos Bulaya anagombea Bunda Mjini
Dr Kigwangalla anaomba dua zetu aweze kushinda!
Uwe unapandisha matokeo juu ,nimeona Jimbo la mwigulu tayari matokeo lakini kwenye update hakuna...Hatuna muda wa kusoma comments zote unless tagged.Haya kumeshakucha tena La mgambo likilia ujue kuna jambo.
Kwa mujibu wa ratiba ya CCM, leo na kesho ni siku ya Mikutano Mikuu ya CCM ya Majimbo/Wilaya kupiga kura za maoni za wagombea wa ubunge na ujumbe wa baraza la wawakilishi
Kwa Mujibu wa Mwenyekiti wa CCM, Dkt. Magufuli waliochukua kugombea nafasi za Ubunge na uwakilishi ni 10,367. Waliokamilisha kujaza fomu na kurejesha ni 10,321.
Watanzania wataelekeza zaidi macho na masikio yao maeneo yenye upinzani mkali kama Kigamboni, Arusha mjini, Simanjiro, Kyela, Mbeya mjini, Mwibara, Misungwi, Same Mashariki, Tunduma, Tarime Vijijini na Ubungo ni baadhi ya maeneo yanayoangaliwa kwa jicho la tatu.
Ngoja tuone.
Up dates:
Jimbo la kinondoni jumla ya waliochukuwa fomu ni 81 na waliorejesha ni 79 ambao wanaendelea kujieleza .
Jimbo la Ubungo waliochukuwa fomu ni 113 na waliorejesha ni 111 na wanaendelea kujieleza, Mbarouk Masoud ambaye ni Katibu mwenezi anasema zege halilali.
Maendeleo hayana vyama!
Kigwa pamoja na kuonga baiskeli lakini ana wasiwasi kweli zitenda mbali na zilonga mbali NJE YA BUNGE 101.Anaomba dua zetu huku anatutukana??
Si yeye mwenyewe ndo alikua anajifanya kutufundisha kujiajiri eti nje ya box😄😄
View attachment 1511654
Ndo akawa had anampinga mkuu wake hali iliyopellekea kutumbuliwa,ahame sasa mikochenLabda ulikua haumfuatilii Mkuu, sema alivyosikia Makonda anataka Kigamboni alipata mawazo si kitoto