Idimi
JF-Expert Member
- Mar 18, 2007
- 15,328
- 11,192
Hilo hilo la KinondoniHivi kabla Azzan alikuwa mbunge wa jimbo gani naomba kukumbushwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo hilo la KinondoniHivi kabla Azzan alikuwa mbunge wa jimbo gani naomba kukumbushwa
Atakuwa kaenda kuchukua wajeda wasambaratishe uchaguzi auNilimuona anatoka Navy uko sijui kufanyaje
Kapuuzi kweli kale,Tarimba alikuwa Diwani. Jamaa kajijenga kisiasa ndani ya kata yake, jimbo pia. Sasa madiwani wenzake kama alikuwa na mahusiano vizuri nao. Aliyenichekesha ni Zamaradi alifikiri wanaomfollow instagram ndo watapiga kura.
Mtulya kapata 11
Basi ushindi upo kama wewe umecoment hivi basi ushindi upoTunahesabu dakika sasa.. Kuanza kufurahia matokeo ya Jimbo la Kigamboni.. Makonda leo.. kawavutia wananchi wengi.. wanasubiri matokeo yake.. kumekuchaaa.. historia inatengenezwa.. [emoji2][emoji2][emoji2]
Mupo tayari.. munataka muziki.. au kurukaruka tu?
Makonda Oyeeeeeeeee
Kweli watz wengi wana mental retardness...unashangiliaje litapeli hilo at ni liaskofu....?Dah! Hawa kondoo wa "bwana" kweli ni kondoo. Jamaa alisema utumishi wa Mungu ni cheo kikubwa kuliko siasa na kondoo wakashangilia. Leo Tena anawaambia "panua panua" wanashangilia tena.
Kabisa hiki kitampata Steve Nyerere pia. Umaarufu wa Facebook,Instagram,Twitter waliamini utawabeba. Ubunge inatakiwa uwe na foundation field.Kapuuzi kweli kale,
Ndio hata humu huwa nasema kila siku kwamba wanaomshabikia Lisu mitandaoni siyo wanaopiga kura!..
Kwamba kigamboni ilikuwa na watia 3 tu? Makonda, Ndungulile na Mpoki tu?kuna uwezekano yale matokeo yanayotembea kwenye mitandao yakawa ni ya kweli... sema kuna jambo lingine la ziada
Haha jimmyfoxxgongo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwahiyo kajitaalisha peke yake.pale kakutana na kisiki.Wewe Makonda awezi kushindwa kwenye kura. Watu wa aina yake wanakuwa wameshajitayarisha sana. Tatizo ni kwenye vikao vya Chama. Kule ana nguvu hasa Polepole!
Stive nyerere tayari amedondokea kiuno.Kabisa hiki kitampata Steve Nyerere pia. Umaarufu wa Facebook,Instagram,Twitter waliamini utawabeba. Ubunge inatakiwa uwe na foundation field.
Hakuna mtia nia atakayepita bila kuleta mbuzi mweupe kwangu!!!
jamani msiwe na wasiwasi hapa kigamboni bado wajumbe wanapata chakula nadhani makonda amechinjwa mana amekaa peke yake na sura yake imekaa kama analia na kujiandaa kwa vurugu.
pengine wengine wana 000Kwamba kigamboni ilikuwa na watia 3 tu? Makonda, Ndungulile na Mpoki tu?
Sikipendi hichi kidudumtu yaani wanambeya hawawezi kuchagua kimtu cha kuharibu zaidi bunge letu.......... Kikisimamia kupitishwa sheria za hovyo na kukataza /kuwabania wabunge kusimamia serikaliDkt Tulia Kashinda Mpaka sasa
Namsubiri Mollel+Lijualikali na snitches wengine.Mjombaake umetoswa we ni Mtulia nini uliepata kura 11!
Subir kuna nafasi nyingine za Ukurugenz,ukatibu tawala,Ubunge wa kuteuliwa.