Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bashite uwezo wa kushinda dar hana labda angeenda kwao huko kolomije. Bashite akishinda nitafute, nitakupa namba yangu ya simu kama zawadi kwako.😃😃😃Subiri CCM wilaya zitatoa matokeo. Though intuition yangu inaniambia Bashite atashinda.
[emoji23][emoji23][emoji23]weka pichajamani msiwe na wasiwasi hapa kigamboni bado wajumbe wanapata chakula nadhani makonda amechinjwa mana amekaa peke yake na sura yake imekaa kama analia na kujiandaa kwa vurugu.
Mbona mnatuchanganya !!Check twitter. Makonda chali mbele ya Daktari. Kachakazwa vibaya.
Alkuwa mbunge wa kinondoniHivi kabla Azzan alikuwa mbunge wa jimbo gani naomba kukumbushwa
Tarimba alikuwa Diwani. Jamaa kajijenga kisiasa ndani ya kata yake, jimbo pia. Sasa madiwani wenzake kama alikuwa na mahusiano vizuri nao. Aliyenichekesha ni Zamaradi alifikiri wanaomfollow instagram ndo watapiga kura.Mamaeee na Bado Lazima Wajue kwamba CCM ina Wenyewe!! Alipewa heshima akaleta uwendawazimu mwache Aione NGONDOIGWA.
Msando hapiti Alisha m disappoint Meko kwenye issue ya CORONANatamani Gambo, Makonda, Gwajima, msando piga nje
Makonda juu
Sawa,kumbuka ahadi ni deni.Bashite uwezo wa kushinda dar hana labda angeenda kwao huko kolomije.
Bashite akishinda nitafute,nitakupa namba yangu ya simu kama zawadi kwako.😃😃😃
zamaradi ataramba teuzi safiTarimba alikuwa Diwani. Jamaa kajijenga kisiasa ndani ya kata yake,jimbo pia. Sasa madiwani wenzake kama alikuwa na mahusiano vizuri nao.Aliyenichekesha ni Zamaradi alifikiri wanaomfollow instagram ndo watapiga kura.
Wewe Makonda awezi kushindwa kwenye kura. Watu wa aina yake wanakuwa wameshajitayarisha sana. Tatizo ni kwenye vikao vya Chama. Kule ana nguvu hasa Polepole!Bashite uwezo wa kushinda dar hana labda angeenda kwao huko kolomije.
Bashite akishinda nitafute,nitakupa namba yangu ya simu kama zawadi kwako.😃😃😃
Kura zinahesabiwa hadharani.. Ccm juuu
Ndugulile kashinda!!!
kuna uwezekano yale matokeo yanayotembea kwenye mitandao yakawa ni ya kweli... sema kuna jambo lingine la ziadaSawa,kumbuka ahadi ni deni.