Abu_yazid
JF-Expert Member
- Mar 28, 2014
- 3,435
- 4,245
hapa inaonekana makonda kapigwa chini... ila inatafutwa namna
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hapa inaonekana makonda kapigwa chini... ila inatafutwa namna
Kama kainama unategemea nini hapo ni sign ya jambo la hatari kwamba hakutegemeaTupo uku jengo la utamaduni chuo cha kumbukumbu ya mwalimu nyerere makonda kainama ila matokeo bado sijayajua
Tumaini letu linabaki kwa ZZK kama atagombea Kigamboni. Wanakigamboni mmetuangusha sana!
Lazima awe maarufu. Wewe mpaka anapoka haki ya kuishi ya watu wengineMakonda basi maarufu sana
Matokeo ya makonda bado??mbna wengine wanasema kapeleaTupo uku jengo la utamaduni chuo cha kumbukumbu ya mwalimu nyerere makonda kainama ila matokeo bado sijayajua
Kinondoni ipi wewe?Kule jimbo
Jimbo la moshi mjini Mr shayo na Mr priscus walijiandaa kwenye utoaji wa rushwa kwa kipindi kirefu Sana.Hivyo ccm tusipoangalia majina hayo kwa ukaribu sana.chama kinaelekea mikono isiyo salama ya rushwa.Kinondoni Kura xinaendelea kuhesabiwa, Lukuvi anapeta
Ndugulile kashinda!!!
Zitto jimbo lake limekuaje mpaka aende kigamboni
Mtoto kipenzi wa baba huyo.Kigamboni, Makonda kapewa over 2 mins kuomba kura. Kinondoni walipewa dk 1 kila mtu. Utofauti huwa haukosekani
Makonda chali cha mende mbona.Subiri CCM wilaya zitatoa matokeo. Though intuition yangu inaniambia Bashite atashinda.
Hivi kabla Azzan alikuwa mbunge wa jimbo gani naomba kukumbushwaMtulya kapata 11
Na Bado Lazima Wajue kwamba CCM ina Wenyewe!! Alipewa heshima akaleta uwendawazimu mwache Aione NGONDOIGWA.Kinondoni
Abbas Tarimba - 171
Idd Azann kura - 77
George Wanyama - 32
Maulidi Mtulia - 11
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Makonda watu wanampenda sana huyu jamaaMbona wanasema kapata kura nyingii