Uchaguzi 2020 Yaliyojiri upigaji kura za maoni za wagombea wa Ubunge na ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kupitia CCM - Julai 20-21, 2020
jamani msiwe na wasiwasi hapa kigamboni bado wajumbe wanapata chakula nadhani makonda amechinjwa mana amekaa peke yake na sura yake imekaa kama analia na kujiandaa kwa vurugu.
[emoji23][emoji23][emoji23]weka picha
 
Mamaeee na Bado Lazima Wajue kwamba CCM ina Wenyewe!! Alipewa heshima akaleta uwendawazimu mwache Aione NGONDOIGWA.
Tarimba alikuwa Diwani. Jamaa kajijenga kisiasa ndani ya kata yake, jimbo pia. Sasa madiwani wenzake kama alikuwa na mahusiano vizuri nao. Aliyenichekesha ni Zamaradi alifikiri wanaomfollow instagram ndo watapiga kura.
 
Mafinga
FB_IMG_1595250291716.jpg
 
Tunahesabu dakika sasa.. Kuanza kufurahia matokeo ya Jimbo la Kigamboni.. Makonda leo.. kawavutia wananchi wengi.. wanasubiri matokeo yake.. kumekuchaaa.. historia inatengenezwa.. 😃😃😃

Mupo tayari.. munataka muziki.. au kurukaruka tu?

Makonda Oyeeeeeeeee
 
Huu mwaka ndo nitashuhudia viti vichache zaidi vya upinzani Bungeni!!!

Hivyohivyo na msemo wako

Time will tell!!!!
 
"UPINZANI UTAKAO PATA AWAMU HII UTAKUWA MGUMU NA MKALI KULIKO ULE WA 2020"
 
Tarimba alikuwa Diwani. Jamaa kajijenga kisiasa ndani ya kata yake,jimbo pia. Sasa madiwani wenzake kama alikuwa na mahusiano vizuri nao.Aliyenichekesha ni Zamaradi alifikiri wanaomfollow instagram ndo watapiga kura.
zamaradi ataramba teuzi safi
 
Bashite uwezo wa kushinda dar hana labda angeenda kwao huko kolomije.
Bashite akishinda nitafute,nitakupa namba yangu ya simu kama zawadi kwako.😃😃😃
Wewe Makonda awezi kushindwa kwenye kura. Watu wa aina yake wanakuwa wameshajitayarisha sana. Tatizo ni kwenye vikao vya Chama. Kule ana nguvu hasa Polepole!
 
Mpaka sasa uzi una wachangiaji 500+

Endeleeni kula mtori minyama ipo chini
 
Back
Top Bottom