cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kesho kilio kanisaniiiiiiiiiihHahaha ataenda kukia kanisani kwa mzee wa upako safari hii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kesho kilio kanisaniiiiiiiiiihHahaha ataenda kukia kanisani kwa mzee wa upako safari hii
Nipo hapa mkuuAcheni kupotosha ndo zinahesabiwa
JESUS IS LORD[emoji120]
Mkuu mollel tayari kashaliwaKura za Kigamboni ndiyo zinahesabiwa muda huu
Aggrey Mwanry chali Siha!
Huyo namba 4 ndiyo ex rc wa tabora?KUTOKA JIMBONI SIHA
1. Dr Godwin Mollel........... *58*
2. Justine Kweka *85*
3. Lameck Munuo... *91*
4.AGGREY MWANDRY... *151*
5.Eng.Betson Maimu.... *231*
Eng. Betson Maimu... [emoji3581][emoji3581][emoji3581]
KUTOKA JIMBONI SIHA
1. Dr Godwin Mollel........... *58*
2. Justine Kweka *85*
3. Lameck Munuo... *91*
4.AGGREY MWANDRY... *151*
5.Eng.Betson Maimu.... *231*
Eng. Betson Maimu... [emoji3581][emoji3581][emoji3581]
Unaweza kukatwa huko kwenye Kamati Kuuu chini ya JPMHivi ukishapita kwenye kura za maoni ndo umepita au unaweza kukatwa huko mbele even wananchi wamekuchagua wewe?
Godwin mollel tayari kashaliwa usaliti mbaya sanaModerator pandisha matokeo ya Kigamboni
NIPO bar nakunywa mkuu😂Sema kweli!
Huyo namba 4 ndiyo ex rc wa tabora?
Huyu nae imetosha ss,apishe wengineMorogoro Abood 524
ImeishaaaaaaaahView attachment 1511838
Kawe jmnMacho na masikio ni Kigamboni wazee,yaani huwezi amini nimepita eneo moja Wapo ukumbini kuteua lakini wote wanafatilia Kigamboni.
Kesho kilio kanisani wallahAlhamdulillah.
Tayari kachinjwa yani wanaccm asilia wanakatia fensi inanyooookaaaaaMkuu mollel tayari kashaliwa
Dr Mollel chaliiii!Paukwaa pakawa